Wapi naweza kupata hii spare?

Fitter and turner ndiyo anayehusika na kuchonga spare part,kwa hiyo ukimpata mmoja mwenye work shop anakuchongea kwa vipimo unavyohitaji wewe,nini usichoelewa hapo?
Fitter & turner hachongi spare bali anachonga vipuri kwa kutumia lathe ama milling ama re-boring...😊
Lakini pia kwa aina ya hiki anacho kitaka mleta mada.... hizo gear ni ngumu, kwahiyo ili afanikiwe basi atafute wataalamu wanao fanya metal hardening ikiwa ata opt kuchongewa
 
Mkuu fittee n turner anafanya,.hapo anachagua chuma kama 20mm kisha anakata size ya uhitaji,anatoboa size ya tundu la uhitaji kwa kutumia bench drill,na hizo tools zote mtu wa fitter n turner anatumia.Kwa hiyo unataka kuniambia mtu wa Fitter n turner hana ujuzi wa kuchonga hicho chuma kwa size hiyo?
 
Hiki ni kitu nyeti sana mkuu akifeli kidogo tu sipati bidhaa ninayoihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…