Wapi naweza kupata huduma ya Sauna katika Jiji la Dar?

Lincolntz

Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
54
Reaction score
40
Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu yenye sauna
 
Samahani unaweza nifahamisha maana ya sauna?
 
kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu yenye sauna
Nenda Sea Clif hotel wana kuna wafilipino wanayo maeneo ya supermarket
 
Huu muda unasubiri majibu jf ungekua ume google majibu ungeyapata in a minute.

Kwa haraka haraka najua Hyatt regency hotel, Jangwan sea breeze, Double tree hotel, Sunrise hotel (kigamboni) ila Mikocheni zipo nyingi sana, kuna ile The Rub Spa ipo Masaki (sijui kama bado inafanya kazi)
 
Heee sauna ya nini Dar ?hapa nilipo joto tu japo ka upepo kwa mbali nahitaji maji ninywe mengi tu
 
Heee sauna ya nini Dar ?hapa nilipo joto tu japo ka upepo kwa mbali nahitaji maji ninywe mengi tu
Si ndo hapo sasa ! Watu wengine wanapenda kupoteza hela hovyo hovyo. Au kujichoresha tujue anajua starehe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Si ndo hapo sasa ! Watu wengine wanapenda kupoteza hela hovyo hovyo. Au kujichoresha tujue anajua starehe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Ungejua faida za Sauna usingetoa povu... lol pole na wewe jichange.
 
Nawatafuta wa mikoani huku hawaji?
 
You mean SAUNA? ni buku kumi tu but accommodation inaanzia 50,000 hadi 120,00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…