Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Sea Clif hotel wana kuna wafilipino wanayo maeneo ya supermarketkama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu yenye sauna
Kweli???South beach!
Kwa lugha rahisi nnavojua ni kujifukiza mvukeSamahani unaweza nifahamisha maana ya sauna?
niache kufanyiwa massage na watoto laini eti nikafukuziwe mvuke khaaa[emoji23][emoji23]Kwa lugha rahisi nnavojua ni kujifukiza mvuke
"a small room used as a hot-air or steam bath for cleaning and refreshing the body."
Si ndo hapo sasa ! Watu wengine wanapenda kupoteza hela hovyo hovyo. Au kujichoresha tujue anajua starehe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Heee sauna ya nini Dar ?hapa nilipo joto tu japo ka upepo kwa mbali nahitaji maji ninywe mengi tu
AhahahahahhaSi ndo hapo sasa ! Watu wengine wanapenda kupoteza hela hovyo hovyo. Au kujichoresha tujue anajua starehe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Ungejua faida za Sauna usingetoa povu... lol pole na wewe jichange.Si ndo hapo sasa ! Watu wengine wanapenda kupoteza hela hovyo hovyo. Au kujichoresha tujue anajua starehe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Vyumba bei gani hapo Nefaland?Nenda pale Nefaland Hotel wanayo SAUNA nzuri saaaana kwa Mwekundu tu