Wapi naweza kupata Huduma za kiroho (Fellowship) kwa Dar

Daktari W Sindabhalla

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
600
Reaction score
580
Habari wanajamii.

Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA.

Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar.

Mimi Nipo Kimara Baruti.

Kwa anayefahamu Naomba Anifahamishe.

Shukrani.
 
Sehemu unayoweza kupata huduma za kiroho kwa Dar Es Salaam, ni Millenium Tower kwa Pastor Tony (PT). Ibada ni kila siku za Alhamisi kuanzia saa 10:30 jioni, na siku za Jumapili kuanzia 8:00 mchana.

Mungu akubariki sana!..
 
Nashukuru Sana Ndugu Tonnes.
Ila hii ni Ministry, ipo equivalent to Churches.
Mimi Natafuta Vikundi vya Maombi vya Mahali Fulani. Tunajumuika pamoja ktk Maombi ya jioni.
Hivi huitwa Fellowship.
Watu tunatoka kwenye makanisa yetu na kuungana na watu wa makanisa mengine au Huduma nyingine Mahali pamoja na kufanya Maombi.
 
Habari wanajamii.

Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA.

Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar.

Mimi Nipo Kimara Baruti.

Kwa anayefahamu Naomba Anifahamishe.

Shukrani.
Kwann isiwe UWATA
 
😂😂😂 Mkuu Mimi unafiki siuwezi.
Hawa jamaa Wana Fanya maigizo ya kiroho.
....jambo Moja tu lililo nichosha ni kwamba wao hawatendi Dhambi.
Na ukitenda Dhambi unafukuzwa.
 
Back
Top Bottom