Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
- #21
Ktk wanafamilia hao Wawili ni wanandoa,Kiukweli Mimi sijawahi kwenda huko.
Ila Nina watu wanne kwenye Family Yangu ambao wao hawakosi Wala ibadani .
Na Tayari ndoa zao zimeanza kuchangamka vibaya kutokana na anayoyazungumza mmoja wao.
* Anasema kwamba,,,,,,,mumewe amemwambia siku akiliacha kanisa hilo, basi Ndoa Yao itakuwa imefika ukomo pia.
M