Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
Ibada ni muhimu sana.Sikuhizi night crubs na bar plus guest ninying dar mpaka hujui wapi ukamtumikie mungu kwa kumwabudu pole sana
Mwenyezi Mungu aendelee kubarikiwa sanaIbada ni muhimu sana.
Lakini Binafsi nimekuwa Muumini Mkubwa wa vikundi vya maombi & Fellowship.
Tafadhari Msipite kimyakimya ikiwa Upo unayefahamu kuhusu Hilo.
Sehemu unayoweza kupata huduma za kiroho kwa Dar Es Salaam, ni Millenium Tower kwa Pastor Tony (PT). Ibada ni kila siku za Alhamisi kuanzia saa 10:30 jioni, na siku za Jumapili kuanzia 8:00 mchana.Habari wanajamii.
Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA.
Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar.
Mimi Nipo Kimara Baruti.
Kwa anayefahamu Naomba Anifahamishe.
Shukrani.
Hivyo vikundi vya fellowship ni mjumuiko wa makanisa mengi mkuu...Ina wewe huna dhehebu unalo sali kweli mtumish?
Hamutakuja kusali makanisa ya wachawi kweli nyie?
AmenMwenyezi Mungu aendelee kubarikiwa sana
Asubuhi na mapema Siku za jumapili Huwa Naenda kanisani kuabudu.Ina maana wewe huna dhehebu unalo sali kweli mtumish?
Hamutakuja kusali makanisa ya wachawi kweli nyie?
Huko kanisani kwenu huwa hamtangaziwi mahali pa kukutaniana baada ya ibada kuisha au unasali makanisa ya manabiiAsubuhi na mapema Siku za jumapili Huwa Naenda kanisani kuabudu.
ila inapokuwa jioni, Binafsi Huwa napenda kuwa Fellowship.
Hivyo tu.
Nashukuru sana Kwa ufahamu huo,Nenda KKKT KIMARA
Nashukuru Sana Ndugu Tonnes.Sehemu unayoweza kupata huduma za kiroho kwa Dar Es Salaam, ni Millenium Tower kwa Pastor Tony (PT). Ibada ni kila siku za Alhamisi kuanzia saa 10:30 jioni, na siku za Jumapili kuanzia 8:00 mchana.
Mungu akubariki sana!..
Kwann isiwe UWATAHabari wanajamii.
Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA.
Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar.
Mimi Nipo Kimara Baruti.
Kwa anayefahamu Naomba Anifahamishe.
Shukrani.
Ulishawai ingia??πππ Mkuu Mimi unafiki siuwezi.
Hawa jamaa Wana Fanya maigizo ya kiroho.
....jambo Moja tu lililo nichosha ni kwamba wao hawatendi Dhambi.
Na ukitenda Dhambi unafukuzwa.
Kiukweli Mimi sijawahi kwenda huko.Ulishawai ingia??