Wapi naweza kupata Huduma za kiroho (Fellowship) kwa Dar

Kiukweli Mimi sijawahi kwenda huko.
Ila Nina watu wanne kwenye Family Yangu ambao wao hawakosi Wala ibadani .
Ktk wanafamilia hao Wawili ni wanandoa,
Na Tayari ndoa zao zimeanza kuchangamka vibaya kutokana na anayoyazungumza mmoja wao.
* Anasema kwamba,,,,,,,mumewe amemwambia siku akiliacha kanisa hilo, basi Ndoa Yao itakuwa imefika ukomo pia.

M
 
Mi natoa huduma ya kiroho ila kwa maelewano na lazima nione picha yako unafananaje?
 
Ktk wanafamilia hao Wawili ni wanandoa,
Na Tayari ndoa zao zimeanza kuchangamka vibaya kutokana na anayoyazungumza mmoja wao.
* Anasema kwamba,,,,,,,mumewe amemwambia siku akiliacha kanisa hilo, basi Ndoa Yao itakuwa imefika ukomo pia.

M
😃😃😃Kama nilivyokuambia raha ya ngoma ingia ucheze usisimuliwe...
 
Nenda parokia ya Makuburi ubungo
 
Kwa ze bulldozier,ila uandae na kiingilio
 
Huko kanisani kwenu huwa hamtangaziwi mahali pa kukutaniana baada ya ibada kuisha au unasali makanisa ya manabii
Kwa Mkoa niliootoka tulikuwa na kikundi Cha Maombi.
Changamoto Naipata Baada ya kuja hapa Dar.
Naamini vipo Vikundi vingi tu vya Maombi ila Mimi simfahamu hata kimoja kutokana na ugeni wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…