Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikia kkwanzakwa kukusaidia huwezi kuwa na mashine moja ikamaliza kila kitu..ukitaka mashine ya kihivyo ww huwezi inunua zipo mashine za 1 man show..independent tool..kuna mashine inaitwa AUTO LOGIC itafute ifuatilie ikiwa full utakimbia..but waweza inunua au makampuni makubwa yananunua na kununua package yao tuu mfano watengenezaji wa benzi au dealer wa bmw wanainunua na kulipia package ya bmw au benzi tuu..hiyo ukichomeka kwenye gari 24hrs unapata msaada wa online unaweza chomeka na kuiacha uukapimiwa na kuelezwa shida nn ..Iwe inascan any problem kwenye pia iwe inafanya calibration mbalimbali mkuu