Wapi naweza kupata mafundi wazuri wanaoweza ku-replace au ku-fix screen ya laptop?

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash.

Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila shaka kutakuwa na hitilafu kwenye screen/mfumo wake. CPU haina tatizo kabisa.

Wapi wanaweza kutatua hilo tatizo kwa Dar?

tf.
 
Umejipangaje kifedha?

Maana kuna mawili, aidha uliidondosha mkanda umepata hitilafu ama kuna shida kwenye GPU yenyewe.
 
CPU haina shida, bi monitor/screen, inaweza kuwa issue ya mkanda kama ulivyosema. Nadha i kuna loose connection sehemu.
 
Dell intel core i7, RADEON GRAPHICS, Inspiron 15 5000 series. OS: Ubuntu Linux 20.04 LTS.
Hii screen kuipata ni ngumu maana inatakiwa laptop ambayo imekufa kabisa ila screen haijafa, si chini ya sh laki 2, kuna kitu kiliwekwa kwenye keyboard kama kalamu, halafu ikafungwa ndio huwa inasababisha screen kutoa hizo rangi au kuvunjika kabisa.
 
0714003752 - Paul Buchira

Yupo Mwenge ofisi yake inaitwa Cataux.
 
Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash.

Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila shaka kutakuwa na hitilafu kwenye screen/mfumo wake. CPU haina tatizo kabisa.

Wapi wanaweza kutatua hilo tatizo kwa Dar?

tf.
Sorry kwa mada interruption.

Kama fundi au angehitaji used laptop HP ProBook 650 G1.

Ni mbovu battery, motherboard
 
Hii screen kuipata ni ngumu maana inatakiwa laptop ambayo imekufa kabisa ila screen haijafa, si chini ya sh laki 2, kuna kitu kiliwekwa kwenye keyboard kama kalamu, halafu ikafungwa ndio huwa inasababisha screen kutoa hizo rangi au kuvunjika kabisa.
Nimezunguka sana na hatimaye nimeipata, Kkoo nzima hakuna, nimeipata sehemu maeneo ya posta, TZS 240,000, brand new.
 
Back
Top Bottom