Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamhusu shirima Mathias Mkuu.Mkuu hii quote inanihusu mimi au huyo Shirima?
Sikutaka used kabisa. Nimenunua mpya, kuna mtu alinishauri niende hapo pia, lakini akaniambia sio rahisi kuwa na mpya.ungeenda pale machinga complex karume ungepata kwa bei cheap sana
[emoji106]Inamhusu shirima Mathias Mkuu.
Nami nilitaka nimuulize hivyo huenda aliigonga au kioo kinakaribia kufika mwisho wake kama sio mkandaUmejipangaje kifedha?
Maana kuna mawili, aidha uliidondosha mkanda umepata hitilafu ama kuna shida kwenye GPU yenyewe.
Andaa laki 3View attachment 1699293
View attachment 1699294
wakuu
pia nina hiyo shida ya display:
LENOVO ThinkPad
X61s
(X series)
Sorry kwa mada interruption.
Kama fundi au angehitaji used laptop HP ProBook 650 G1.
Ni mbovu battery, motherboard
Nitatuma picha, but ilikuwa poa tu. Ilianza kufa battery baadaye maji yakamwagikiash ngp unauza na picha ebu tuma tuone condition yake
sh ngp unauza na picha ebu tuma tuone condition yake
sh ngp unauza na picha ebu tuma tuone condition yake
sh ngp unauza na picha ebu tuma tuone condition yake
Labda na location pia imechangia.Umepigwa mkuu Vioo vya laptop ni 70Tsh mpaka 120000Tsh