TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Dell intel core i7, RADEON GRAPHICS, Inspiron 15 5000 series. OS: Ubuntu Linux 20.04 LTS.Andika aina ya Laptop na series
CPU haina shida, bi monitor/screen, inaweza kuwa issue ya mkanda kama ulivyosema. Nadha i kuna loose connection sehemu.Umejipangaje kifedha?
Maana kuna mawili, aidha uliidondosha mkanda umepata hitilafu ama kuna shida kwenye GPU yenyewe.
Hii screen kuipata ni ngumu maana inatakiwa laptop ambayo imekufa kabisa ila screen haijafa, si chini ya sh laki 2, kuna kitu kiliwekwa kwenye keyboard kama kalamu, halafu ikafungwa ndio huwa inasababisha screen kutoa hizo rangi au kuvunjika kabisa.Dell intel core i7, RADEON GRAPHICS, Inspiron 15 5000 series. OS: Ubuntu Linux 20.04 LTS.
Mkuu,Hardware hapo ni Dell Inspiro 15 5000 seriesDell intel core i7, RADEON GRAPHICS, Inspiron 15 5000 series. OS: Ubuntu Linux 20.04 LTS.
Hardware kivipi?Mkuu,Hardware hapo ni Dell Inspiro 15 5000 series
Nshaelewa.Ok Ngoja nitafute hicho kioo then nikupe mwongozoHardware kivipi?
Sorry kwa mada interruption.Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash.
Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila shaka kutakuwa na hitilafu kwenye screen/mfumo wake. CPU haina tatizo kabisa.
Wapi wanaweza kutatua hilo tatizo kwa Dar?
tf.
Okay.Nshaelewa.Ok Ngoja nitafute hicho kioo then nikupe mwongozo
Yeah. Sasa wapi natatua hili?Shida hapo inaweza kuwa ipo kwenye mkanda
Hauko sahihi mkuu,tengua hayo maelezo sio poa.Acha ujinga.
Ki dell cha laki tano ndio unakianzishia uzi JF?. Eti nina ki Dell kimeungua, sijui screen ina mawenge,,, si ukivunjilie mbali ununue nyingine
Ujinga tu
Nimezunguka sana na hatimaye nimeipata, Kkoo nzima hakuna, nimeipata sehemu maeneo ya posta, TZS 240,000, brand new.Hii screen kuipata ni ngumu maana inatakiwa laptop ambayo imekufa kabisa ila screen haijafa, si chini ya sh laki 2, kuna kitu kiliwekwa kwenye keyboard kama kalamu, halafu ikafungwa ndio huwa inasababisha screen kutoa hizo rangi au kuvunjika kabisa.
shirima Mathias Hii laptop bei yake halali niliyonunulia ni TZS 2,800,000 mwaka 2017.Hauko sahihi mkuu,tengua hayo maelezo sio poa.
Nimenunua kioo kwa TZS 240,000. Plus mizunguko na usumbufu, it goes to TZS 300,000.Umejipangaje kifedha?
Maana kuna mawili, aidha uliidondosha mkanda umepata hitilafu ama kuna shida kwenye GPU yenyewe.
Mkuu hii quote inanihusu mimi au huyo Shirima?shirima Mathias Hii laptop bei yake halali niliyonunulia ni TZS 2,800,000 mwaka 2017.
Sawa kabisa mkuu, ndio bei zake hizoNimenunua kioo kwa TZS 240,000. Plus mizunguko na usumbufu, it goes to TZS 300,000.