Wapi naweza kupata mafundi wazuri wanaoweza ku-replace au ku-fix screen ya laptop?

ungeenda pale machinga complex karume ungepata kwa bei cheap sana
 
Umejipangaje kifedha?

Maana kuna mawili, aidha uliidondosha mkanda umepata hitilafu ama kuna shida kwenye GPU yenyewe.
Nami nilitaka nimuulize hivyo huenda aliigonga au kioo kinakaribia kufika mwisho wake kama sio mkanda
 
Laptop ipo vizuri sana inapiga kazi kinyamwezi....
 

Attachments

  • IMG_20210211_102354.jpg
    177.9 KB · Views: 4

Attachments

  • IMG_20210211_102625.jpg
    114.3 KB · Views: 3
  • IMG_20210211_102554.jpg
    94.3 KB · Views: 3
  • IMG_20210211_102502.jpg
    156.7 KB · Views: 3
  • IMG_20210211_102448.jpg
    169.4 KB · Views: 3
  • IMG_20210211_102426.jpg
    162.3 KB · Views: 3
  • IMG_20210211_102404.jpg
    172.2 KB · Views: 3
Wakuu desktop inaniletea hizo error I'm trying my best lakini wapiii mbaya zaidi kuna software ipo kwenye hiyo hdd ninashida nayo vibaya mnooo
 
Kuna desktop motherboard yake imeungua capacitors za ndani za kile kimstari cha kusomea RAM. Fundi kadai kwa vile ni AMD haitengenezeki kwahiyo ninunue CPU nyingine. Wakuu kuna ukweli katika hili maana niliagiza mtu aende na karudi ananambia hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…