Nashauri kabla ya Kuagiza au kutaka mashine pitia kwanza Jinsi Mabango yanavyokuwa Printed there are more than one way to skin a Cat....
Mabango kama ni chuma katikati kuna carpet basi any wide format itaprint alafu inafungwa kwenye chuma...., Mabango makubwa zaidi unaweza ukaprint ukubwa wa A0 au A2 alafu unabandika kwa gundi kwenye background...
Narudia tena kwanza pitia the HOW ukishajua utanunua accordingly.....
Vilevile kama Soko unalo kubwa nakushauri sio lazima ununue mashine unaweza ukawa una outsource printing wewe unakwenda kufanya installation (amini nakwambia kwa njia hii huenda ukapata faida zaidi with less costs)