Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha large format printer?Habari wadau...
Nashida na mashine ya kuprint mabango, msaada tafadhali.
Nipigie 0788643144 niambie unataka ya ukubwa gani. Zipo Kuanzia 1.6m 1.8m 2.5m na 3.2m machine zipo za kutosha. Utapewa na 1 roll of sticker for testing.Habari wadau...
Nashida na mashine ya kuprint mabango, msaada tafadhali.
Hapana hana haja ya kwenda china tunazo hapa hapa Tanzania, free installation, training, and starting material.Hizo mashine hazipatikani kirahisi rahisi. Mara nyingi ni hadi uagize China.
Sio lazima aende. Anaagiza.Hapana hana haja ya kwenda china tunazo hapa hapa Tanzania, free installation, training, and starting material.
unapatikana wapi mkuu hapa tzNipigie 0788643144 niambie unataka ya ukubwa gani. Zipo Kuanzia 1.6m 1.8m 2.5m na 3.2m machine zipo za kutosha. Utapewa na 1 roll of sticker for testing.
Material pia za printing zipo.
Dar + Mbeyaunapatikana wapi mkuu hapa tz