Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel money wana service hiyoWaungwana
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa
nipo chuo bado still ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Jee naweza kupata mkopo wa kuanzia elfu 10 mpaka ellfu 50 online?
Jee ni tovuti gani wanazotoa mkopo online ukiondoa branch?Kinachonikwamisha branch ni kuwa sina kitambulisho cha mpiga kura nilikipoteza
Pamoja na kuwa ni mwanafunzi nataka nianzishe biashara ndogo ndogo hata ya kuuza ubuyu lengo ni kuweza kujimudu tu maana wengine tunasomeshwa kwa misaada ya watu wazazi wetu ndo bhasi tena uwezo wao duni
Najua kuna watu wanazielew sites ambazo naweza kupata mkopo online nitafurahi mno maana ndo kikwazo kwangu
Asanteni mno
nichek nkupe maujanja yabranch kukopa naktambulisho chochotehuku nilipo airtel haitumiki sana mkuu
Nenda benk na hati ya nyumba utapata