monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MafutaHizo ni zile za gesi?
Sijajua kama watu credits wanatoa za mafuta, kuna mtu aliniambia unatanguliza 1.5m wanakupa ya gesi kwa marejesho ya miaka mitatu ila sijafuatilia kuhakikisha hilo.Mafuta
Shukrani bossWatafute watu credits au nenda tawi lolote la nmb bank au crdb bank kwa maelezo zaidi.
Ila watu marejesho yao yamechangamka mnoSijajua kama watu credits wanatoa za mafuta, kuna mtu aliniambia unatanguliza 1.5m wanakupa ya gesi kwa marejesho ya miaka mitatu ila sijafuatilia kuhakikisha hilo.
Ulitaka uuziwe ngapi afsa?Yaani unanunua bajaji milioni 18-19 hii si sawa.
Uwe makini usijejitwisha zigo la gunia la misumari.Ila watu marejesho yao yamechangamka mno