Wapi naweza kupata mkopo?

Wapi naweza kupata mkopo?

ebrania

Senior Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
174
Reaction score
208
amani iwe nanyi wapendwa, nahitaji mkopo wa mil 15 mimi ni mwajiliwa serikalini kama kuna benki yoyote inayoweza kukopesha huo mkopo au kwa upande wa aseti nina viwanja lakni havijapimwa sijui kama naweza kuweka bondi. Naomba kwa yeyote anayefaham pahara napoweza kupata hyo pesa
 
naombeni mawazo kwa yeyote anafaham sehem ambapo naweza kuupata
 
Back
Top Bottom