Wapi naweza kupata spare aina ya boll joint (Mazda CX 5)

Tatizo watu hawajui namna ya kutafuta spea ambazo si za Toyota..Magari ya japan kuna vikorokoro vingi sana vinaingiliana...hapo chomoa hiyo ball joint pita nayo madukani, watakupatia inayofanana na hiyo..

Ukimuambia ni ya mazda, wala hata hajisumbia kuitafuta atakujibu tu, hamna..
 
Unamshauri achomeke inayofanana na hiyo au atafute ya mazda yenyewe ?
 
Hayo ndio mambo ya kuvaa suruali ya kike kisa size ya kiuno iko sawa
 
Hbr wanajamvi ,kwa dar wapi naweza kupata spare ya Mazda CX -5 gari ni ya mwaka 2013
Spare part no 3/J

Natanguliza shukrani.​

View attachment 1831092

sent from HUAWEI
Cheki na huyu sister
Hbr wanajamvi ,kwa dar wapi naweza kupata spare ya Mazda CX -5 gari ni ya mwaka 2013
Spare part no 3/J

Natanguliza shukrani.​

View attachment 1831092

sent from HUAWEI
Cheki na huyu mdau ana deal na spare za Mazda na Ford tu 0712199494 anapatikana Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…