Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Mbona kicheko mkuu🤣🤣🤣 ila omena
jina la nyumban kwetu umenikumbusha mbaliii🤣🤣Mbona kicheko mkuu
Ahaa,kwenye field ya vyakula vya mifugo tunaina omena,ila kwa kifupi nahitaji Omena wa Ziwa VictoriaOmena ni dagaa kwa kijaluo, ukisema dagaa omena unamaanisha dagaa dagaa hebu fafanua hapo.
Kwenu wapi mkuujina la nyumban kwetu umenikumbusha mbaliii🤣🤣
huko kwenye omenaKwenu wapi mkuu
Aha crumble machine kwa ajili ya kukata pellets kupata crumbles kwa ajili ya vifarangaKwani mashine ya kusaga material si unayo, kuna haja gani ya kununua wakiwa katika form ya unga, nadhani ungetumia crusher yako kupata unga wa omena, mimi nipo katika kutafuta crumbler machine
Na yenyewe ni mbinu nzuri ila nataka tu kujua napataje dagaa wenye protini nzuriKwani mashine ya kusaga material si unayo, kuna haja gani ya kununua wakiwa katika form ya unga, nadhani ungetumia crusher yako kupata unga wa omena, mimi nipo katika kutafuta crumbler machine
Du hiko kitambi kimechomoza kwa ajili ya omenahuko kwenye omena
Yes kakaAha crumble machine kwa ajili ya kukata pellets kupata crumbles kwa ajili ya vifaranga
Tushirikiane pamoja kupata hao dagaa quality maana ni kitu muhimu sana kwenye kazi zetu, nitakuja pm maana nilishapata eneo chalinze nataka nikaifunge ile mixer yangu nianze kuwachanganyia wananchi chakula pamoja na kuwauzia materialsNa yenyewe ni mbinu nzuri ila nataka tu kujua napataje dagaa wenye protini nzuri
Karibu mkuuTushirikiane pamoja kupata hao dagaa quality maana ni kitu muhimu sana kwenye kazi zetu, nitakuja pm maana nilishapata eneo chalinze nataka nikaifunge ile mixer yangu nianze kuwachanganyia wananchi chakula pamoja na kuwauzia materials
Uduvi hapana mkuuMkuu Mimi hiyo omena sijui ila Kwa habari ya uduvi tunaweza fanyabiashara
Sawaingia ukerewe kutana na waanika dagaa, dodosa utapata info za uhakika