Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

Elite_man

Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
18
Reaction score
25
Habari za muda huu wakuu.

Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.

Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.

Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu wanisaidie wapi naweza pata uzoefu wa kazi kupitia volunteering, internship ama chochote kile ambacho kitanipa experience kubwa kwenye career yangu ili nikimaliza chuo nijue pa kuanzia.

Natanguliza shukrani zang za dhati kwenu nyote...
Naomba kuwasilisha🙏
 
Naomba kuwasilisha[emoji120]
Peleka barua ya kuomba Internship NEMC
 
Kwani hujui proffesional yako inaapply wapi
Ingependeza zaid kama ningefaham taasisi zipi kwa majina zinazohusik na proffesion yang kwa upana zaidi. I need to expand my knowledge on this🙏
 
Back
Top Bottom