Peleka barua ya kuomba Internship NEMCHabari za muda huu wakuu.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.
Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.
Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu wanisaidie wapi naweza pata uzoefu wa kazi kupitia volunteering, internship ama chochote kile ambacho kitanipa experience kubwa kwenye career yangu ili nikimaliza chuo nijue pa kuanzia.
Natanguliza shukrani zang za dhati kwenu nyote...
Naomba kuwasilisha[emoji120]
Ingependeza zaid kama ningefaham taasisi zipi kwa majina zinazohusik na proffesion yang kwa upana zaidi. I need to expand my knowledge on this🙏Kwani hujui proffesional yako inaapply wapi
Asante mkuu nalifanyia kazi🙏Peleka barua ya kuomba Internship NEMC
Pia jiunge TAESA online then omba kwenda kufanya training na kisha interview kwao, maana nasikia NEMC pia huwa wanachukua intern kupitia TAESAAsante mkuu nalifanyia kazi[emoji120]
Asante kaka nimejiunga tayar leoPia jiunge TAESA online then omba kwenda kufanya training na kisha interview kwao, maana nasikia NEMC pia huwa wanachukua intern kupitia TAESA