hello, nauza viazi mviringo kutoka Mbeya 0755845733Habari za mida hii wanajamvi.
Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.
Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa pande hizo?
Naomba ane fahamu hili asisite kunijulisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae ni saidia hili. [emoji120] NB: mzigo nauzia Dar. Kwahiyo trip itakua Mbeya
- Dar au Njombe-Dar.
Kwa nini njombe na mbeya na siyo Iringa ?Kwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
Kiazi mwezi wa tatu tayariKwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
Baraka au tengeru hiyo naiona hapoKiazi mwezi wa tatu tayariView attachment 2884267
Kwa nini njombe na mbeya na siyo Iringa ?
Njoo MUFINDI kuanzia mwezi wa tatu
Inaruhusiwa tu kama bidhaa zingine,sema inabidi uwe punctual sana maana viazi lile zao delicate sana vikiingia maji tu shughuli yake imeishia hapo na ninavyojua mambo ya mipakani gari kukaa wiki kusubilia vibali.Jamani naomba kuuliza hivi viazi vinaruhusiwa kutoka nje ya nchi? Yaani kama nimepata soko nje ya nchi naweza kupata kibali cha kupeleka?