Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

Njoo umarila kiazi kizuri hakitumii sana madawa, mbolea hivyo hudumu muda mrefu sokoni na utapata gunia za kutosha kwa bei rafiki kuliko kote tanzania no 0678115853
 
Nasikitika kuuona uzi wako muda ukiwa umeenda naomba mara nyingine unitafute .

Japo na sasa kiazi kipo bei ni 30 / 28 wanaita vipeto kwahiyo na mimi napima kwa vipeto siwezi kueleza vipeto ni nini na mimi huku kijijini ni wa kuja labda kwa picha waweza nielewa .
Note: mimi sio dalali ni mkulima .
 
Back
Top Bottom