The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ungejaribu kucheki duka la Sony appliances pale mcity. Nakumbuka niliona Home Cenema BDV - N9200W (hizi ndio zipo sana huku bongo) bei ni 2.5M to 3MWakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa.
Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater system ambazo sio za mawaya waya, na mimi sitaki sebule yangu ijae mawaya waya.
Hivyo naomba wataalamu mnielekeze wapi napata wireless home theater system, hasa sony ama lg.
Natanguliza shukrani.
Zinatumia wifi?Tafuta SoundBar ya JBL 5.1 ni wireless
Shukrani mkuu.Ungejaribu kucheki duka la Sony appliances pale mcity. Nakumbuka niliona Home Cenema BDV - N9200W (hizi ndio zipo sana huku bongo) bei ni 2.5M to 3M
Pia jua kwamba hizi wireless home theatre zinatumia WiFi kuconnect speaker zake (sio bluetooth, bluetooth yake inatumika ku connect central unit za simu yako or laptop lakini haitumii bluetooth ku connect na surround speakers zake) hvo ni lazima uwe na wifi access point nyumbani kwako ambayo itakua on muda wote. Kma una zile home wireless routers kutoka ttcl, airtel, voda or hata wireless router yoyote inayokua active nyumbani kwako.
Cha kuongeza pia , wireless tech Zinacompromise sound quality , labda zile system za gharama sana , audiophiles bado Wana prefer wired sound systemUngejaribu kucheki duka la Sony appliances pale mcity. Nakumbuka niliona Home Cenema BDV - N9200W (hizi ndio zipo sana huku bongo) bei ni 2.5M to 3M
Pia jua kwamba hizi wireless home theatre zinatumia WiFi kuconnect speaker zake (sio bluetooth, bluetooth yake inatumika ku connect central unit za simu yako or laptop lakini haitumii bluetooth ku connect na surround speakers zake) hvo ni lazima uwe na wifi access point nyumbani kwako ambayo itakua on muda wote. Kma una zile home wireless routers kutoka ttcl, airtel, voda or hata wireless router yoyote inayokua active nyumbani kwako.
Kma ni center console inayotumia speaker nyingi ni lazima itumie wifi sababu ya range na kuwa na stable connectionShukrani mkuu.
Kuna nyingine zinatumia Bluetooth ama zote lazima kuwepo na wifi access?
Kwa zinazotumia wifi haiziwi affected sana. Na pia huwa sound quality bado inakua nzuri tu. Lakini kma unataka highest sound quality ni vyema kutumia wired tuCha kuongeza pia , wireless tech Zinacompromise sound quality , labda zile system za gharama sana , audiophiles bado Wana prefer wired sound system
Ukimanisha za wire zinakitaa kuliko wireless?Kwa zinazotumia wifi haiziwi affected sana. Na pia huwa sound quality bado inakua nzuri tu. Lakini kma unataka highest sound quality ni vyema kutumia wired tu
Ukimanisha za wire zinakitaa kuliko wireless?
Kma ni center console inayotumia speaker nyingi ni lazima itumie wifi sababu ya range na kuwa na stable connection
Kma ni center console inayotumia speaker nyingi ni lazima itumie wifi sababu ya range na kuwa na stable connection
Mkuu sasa nipe info zaid make nilitaka nichange home theatre yangu nipate sound bar nisije nikajutiaUbora wa sauti kwenye kifaa husika mtaalamu.
sio kukita,kukita hata sabufa linakita.Ukimanisha za wire zinakitaa kuliko wireless?
Ndio maana nikaongelea audiophiles , these are people with very sensitive ears to music .Kwa zinazotumia wifi haiziwi affected sana. Na pia huwa sound quality bado inakua nzuri tu. Lakini kma unataka highest sound quality ni vyema kutumia wired tu