The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa.
Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater system ambazo sio za mawaya waya, na mimi sitaki sebule yangu ijae mawaya waya.
Hivyo naomba wataalamu mnielekeze wapi napata wireless home theater system, hasa sony ama lg.
Natanguliza shukrani.