Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Atakua mweupe hatoamin baada yakumalizaKasome course za graphics designing.
Veta wanatoa.
Kama ni kitu ana hobby nacho hata yeye anaweza jifunza mwenye kwa tutorials mbalimbali.Atakua mweupe hatoamin baada yakumaliza
Aende akaombe tu Kaz za kujitolea kwa wadau wenye hizo mbishe hawanaga kwere kabisa wanapenda cheap labourers watamfundisha Kaz uku wakimpigisha mzigo wa punda ππKama ni kitu ana hobby nacho hata yeye anaweza jifunza mwenye kwa tutorials mbalimbali.
"Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi"Aende akaombe tu Kaz za kujitolea kwa wadau wenye hizo mbishe hawanaga kwere kabisa wanapenda cheap labourers watamfundisha Kaz uku wakimpigisha mzigo wa punda ππ
nimemshauri kwa uzoefu wangu maana ndio shughuli zangu hapa mjini kati kama anaona hii comment ani nimpe muongozo"Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi"
Kwa nilivyomuelewa hapa ni kama anataka ku venture kwenye hii biashara, kikubwa awe na mshine tu,
angekuwa na hizo mashine tayari wala asingeleta uzi hapa angekua bize kupanda kujifunza utumizi wa masine husika.