Wapi naweza kusoma maswala ya printing kwa vitendo?

Kama ni kitu ana hobby nacho hata yeye anaweza jifunza mwenye kwa tutorials mbalimbali.
Aende akaombe tu Kaz za kujitolea kwa wadau wenye hizo mbishe hawanaga kwere kabisa wanapenda cheap labourers watamfundisha Kaz uku wakimpigisha mzigo wa punda 😁😁
 
"Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi"

Kwa nilivyomuelewa hapa ni kama anataka ku venture kwenye hii biashara, kikubwa awe na mshine tu,
angekuwa na hizo mashine tayari wala asingeleta uzi hapa angekua bize kupanda kujifunza utumizi wa masine husika.
 
nimemshauri kwa uzoefu wangu maana ndio shughuli zangu hapa mjini kati kama anaona hii comment ani nimpe muongozo
 
Back
Top Bottom