Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 209
Wanajamvi ninaomba niwashirikishe wale mlio na uzoefu wa maisha katika wilaya tajwa mnisaidie kunishauri wapi naweza pata chumba cha kupanga hata kimoja pakiwa na ustaarabu kwa maana ya mitaa isiyo na vibaka na pakiwa na maji . Kwa shughuli zangu mm huja dar na kukaa muda kisha kurudi mkoani hivyo napenda mahali penye sifa hizo , itapendeza kodi isizidi 50000/= kwa mwezi.