Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 209
salaam,Wanajamvi ninaomba niwashirikishe wale mlio na uzoefu wa maisha katika wilaya tajwa mnisaidie kunishauri wapi naweza pata chumba cha kupanga hata kimoja pakiwa na ustaarabu kwa maana ya mitaa isiyo na vibaka na pakiwa na maji . Kwa shughuli zangu mm huja dar na kukaa muda kisha kurudi mkoani hivyo napenda mahali penye sifa hizo , itapendeza kodi isizidi 50000/= kwa mwezi.
Poa mkuu ila mm makao yangu makuu ni mkoa hivyo ningepata cha bei hiyo niliyotaja ingefaa zaidi maana dar sikai muda mrefu ni kwa ajili ya kufikia tu.salaam,
Chumba ambacho ni self contained Kinapangishwa katika eneo la ubungo (nyuma ya ubungo Plaza)
Chumba ni cha kisasa kabisa, kikiwa na gypsum board, tiles, slides Windows pamoja na washroom kubwa na ya kisasa.
Umbali kutoka stand ya ubungo ni dakika 5 kwa mwendo wa miguu na dakika 7 kutoka stand ya mawasiliano.
Utaratibu wa malipo ni miezi 6 tu.
Kodi kwa mwezi ni 180k
More info : 0756 832833