Wapi naweza pata dentist mzuri dar-es-salaam?

Wapi naweza pata dentist mzuri dar-es-salaam?

NyotaMalaika

Senior Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
167
Reaction score
77
za asubuhi wapendwa.....nahitaji kumconsult daktari wa meno....ni wapi naweza pata daktari mzuri wa meno hapa dar-es-salaam?
 
Kuna doctor mmoja anaitwa doctor Mosha yupo maeneo ya mikumi hospital Ni mzuri sana Kama upo karibu na Magomen jaribu kwenda hapo
 
Back
Top Bottom