Wapi naweza pata freeza kubwa la kuhifadhia samaki kwa kulipia.

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Freezer liwe linaweza hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja. Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.
 
Muulize magufuli wale samaki wake aliweka wapi
 
Mkuu ni kweli unahitaji msada lakini ingekuwa vyema kama utatoa location uliokuwepo hapo tunaweza kukusaidioa cha kufanya.
 
Muulize magufuli wale samaki wake aliweka wapi

Congratulations! This adds to your number of posts. Now you have 807 posts. Once again congrats! N keep it up
 
utapata dukani

No sitaki ya kununua, nataka ya kuhifadhi kwa mtu, kampuni. Nasikia kuna watu wanamafreezer makubwa tu, kazi yao ni kuhifadhi vitu vya wengine kwa kuwa charge
 
Ni-pm tafadhari, kma bado ni muhitaji.
Freezer liwe linaweza hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja. Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.
 
Freezer liwe linaweza
hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja.
Naomba na gharama zake.

Uko mkoa gani? Ni PM
 
Freezer liwe linaweza
hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja.
Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.

Kama uko tayari, ninalo ambalo naweza kukupatia ukatumia kwa muda kwa makubaliano,ninahitaji pesa fulani ndani ya hizi siku 2
 
Freezer liwe linaweza
hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja.
Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.

Ni PM Tukikubaliana nitakupatia uhifadhie samaki wako hata kwa mwezi 1 wakati unajipanga au tutakapo renew makubaliano.
 
Freezer liwe linaweza
hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja.
Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.

kaka mi shida yangu uniunganishe huko unakochukua samaki mwanza 0717373037
 
Back
Top Bottom