Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No sitaki ya kununua, nataka
ya kuhifadhi kwa mtu, kampuni. Nasikia kuna watu wanamafreezer makubwa
tu, kazi yao ni kuhifadhi vitu vya wengine kwa kuwa charge
Freezer liwe linaweza hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja. Naomba na gharama zake.
Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.
Freezer liwe linaweza
hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja.
Naomba na gharama zake.

Muulize magufuli wale samaki wake aliweka wapi