Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Hahahaaa Mzee wa Rula unampeleka kwa wauza Tanzanite?
Njiro kwa matajiri jamani haturuhusu fundi wa kurekebisha nguo, zikileta mushkeli tunazipeleka krokoni wanazipiga bei. Ukitaka cherehani jaribu Kiding'a kule kwa kina Filipo. Bottom line hakuna cherehani NJIRO. SOURCE: mtoa mada kakosa kote.
Hope amepajua...ajipakosa amtafute Mungi ampelekeMitaa ile St Thomas kama unashuka chini kisha ukakata kulia ukiwa unatokea juu kama unaelekea ilipo shell ya BP karibu na Jubilee kuna mafundi wengi sana wa cherehani pale mkuu.
Teh teh akipotea utafungwaNjoo pale mbele pembeni,karibu na yule mama muuza vitumbua kwenye ule mti afungiwao ng'ombe,unao karibia kukatika.
Watu wa Njiro kwa kujipakulia pilau hamjambo, mwishoe mtasema na magenge hamna nyie mnahemea supermarket tu tehe tehe tehe.
Mzee wa Rula yale magenge ni spesho kwa mafundi na vibarua wanaojenga majumba huku.
Mzee wa Rula! Unaowasema wote yaani Blaki Womani Preta Mungi LiverpoolFC erickb52 na hata mzee wa KIDING'A Filipo na mkewe marejesho wapanajua kwangu, kama huamini muulize hata PJ, PakaJimmy. Kama hujui kusoma hata picha ione basi mkuu.
Ngoja nikupambanishe na ndugu yako Ngongo sasa naye aje ajipakulie mapilau tehe tehe. Hata kama kusoma sijui na picha nayo sioni haaaa!!!!!
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza!!
Nilikua naulizia sehemu nayoweza pata fundi mzuri wa kulekebisha nguo zangu
Maeneo! Along njiro road!! Town if possible
Hahaaaa pale nilishahama...niko huku cafe la azizi
HahahahaaaHivi bado unashonaga nguo? Manake.siku ile ulivyonipimisha kwa mbwembwe na makumbatio yoote kutoka hapo ukaanzisha thread, nilikoma kabisa. Sasa hivi viwalo vyote naletewa arabuni manake.Paw alimind sana.
Njiro ni ishu..aende mtaa wa Ndovu au msikiti mkuu au sokoni stapata wazee wa ukweli....
Halafu BADILI TABIA njiro sio kwa mafundi cherehani