Wapi naweza pata Garden/venue kaku- host dinner ya watu 100 tops.

Josam house mwenge, atrium sinza, brajec survey,shekina garden Mbezi beach,opposite keni close africana, city view goba road,
Brajec pamefungwa mkuu walikuwa wanafanya ukarabati naona hawajafungua
 
Shekinah Pako vizuri kwa kweli Ila Huwa wananiudhi vinywaji baridi ni ghali mno pale
mkuu shekina sikuizi ukitaka a wedding dinner wanakupa menu yao ya event kabisa ..yani wanakutengea eneo charge 1.5mil kwa eneo ..sasa sisi tuna target sehem ambayo its favourable usitucharge kama tunakodisha..ila u host 100 people guaranteed at a secured area in your zone..
 
Nenda temboni garden kimara temboni. Bonge la view juu ya mlima fresh air. Kuna tents hawachaji unalipia tu drinks
 
You mean mnalenga kupata mlo tu wa pamoja buffet style...no dancing and formalities za harusi as in kadance kidogo ka kwaito ..cake... zawadi ( zinaweza achwa at the entrance kizungu zaidi)...
 
wakuu asanteni kwa ushauri wenu nimefanikiwa kupata kutokana na ushauri wenu..
mbarikiwe sana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…