Wapi naweza pata hii bidhaa ya kuvunja mawe

Waibi fredy

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
194
Reaction score
227
Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu.

Wapi naweza pata.

Screenshot_20220806-022534_WhatsApp.jpg
Screenshot_20220723-144753_Facebook.jpg
 
Taitafuta kwa udi na uvumba, kuna sehemu nina uwanja wa kujenga, bahati mbaya kuna jiwe kubwa kiasi kitu ambacho kinaninyima usingizi, kupiga baruti ni hatari coz kuna nyumba mpaka na kiwanja
 
Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu.

Wapi naweza pata.

View attachment 2315725View attachment 2315726

E mail:- sales@superdrill.com.cn
 
Taitafuta kwa udi na uvumba, kuna sehemu nina uwanja wa kujenga, bahati mbaya kuna jiwe kubwa kiasi kitu ambacho kinaninyima usingizi, kupiga baruti ni hatari coz kuna nyumba mpaka na kiwanja
Tumia mkaa, ni nafuu ,mkaa unachomwa juu ya jiwe,wapo tena locals wamebobea
 
Back
Top Bottom