kaka nipe muongozoVipi unategemea kukamatiwa kesho au kiroho kinakupiga ushakumbana jindamizi
Kama umeupata leo hautaonekana.
mpaka sasa hv sijapata jibu
Nenda regency ila anda 27,000
Mmmh we usije ukawa umeshajiandaa. kwanza confused, afu jumapili. Haya tupe majibu maana j2 ndo ishafika mkuuMamboz
.
Natarajia mko poa wadau..
Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?