Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

Vipi unategemea kukamatiwa kesho au kiroho kinakupiga ushakumbana jindamizi
 
Let me guess: kakutumia message? Kapime....au kapiga kabisa?

Au umepata taarifa kavuta...na ulishawahi kupiga kavu kipindi fulani...

Nway....nenda hospital yoyote utapimwa. Hata wakikuchaj haitozidi buku kumi. Andika kabisa WILL andaa na hela ya shuguli...
 
pole sana. hope everything will be fine! ukirudi usiache kutupa feedback, n we can learn something.
 
Mamboz
.
Natarajia mko poa wadau..
Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?
Mmmh we usije ukawa umeshajiandaa. kwanza confused, afu jumapili. Haya tupe majibu maana j2 ndo ishafika mkuu
 
oky guys, nimeenda and i tested negative.. but i had hiv exposure, tommorrow inshallah iam going to start PEP for hiv..
i do hope for the best inshallah
 
confused ulipima wapi na mimi niende kupima
 
confused ulipima wapi HIV nami nataka nikapime!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom