Wapi Naweza Pata Ice Block/Mabarafu Maeneo ya Tabata au Segerea Wakuu...?.

Wapi Naweza Pata Ice Block/Mabarafu Maeneo ya Tabata au Segerea Wakuu...?.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Salaam wakuu.

Natumai mu-wazima nyote. Well, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji huduma ya mabarafu makubwa kiasi kwa maeneo tajwa hapo i.e Segerea, Tabata au kama ikishindikana basi hata Buguruni wakuu japo ni mbali kiasi.

Kama kuna mwenye kuuza au anayefaham wapi wanauza naomba kujuzwa tafadhali.

Natanguliza shukran kwenu.

Ahsanteni sana.
 
Msaada wadau......
 
Wadauuuuuu...!.
 
Duh miye wife anauza barafu lakini ya mifuko midogo midogo maeneo ya Tabata Mwananchi.........
 
Duh miye wife anauza barafu lakini ya mifuko midogo midogo maeneo ya Tabata Mwananchi.........

Mkuu, mifuko midogo midogo yapata ukubwa gani labda kiongozi...?.

Naomba kujuzwa tafadhali.

Shukran.
 
Wajasiriamaliiiiiiiii...!
 
''Mkuu, mifuko midogo midogo yapata ukubwa gani labda kiongozi...?.

Naomba kujuzwa tafadhali.

Shukran.''

Nusu lita ya maji may be
 
''Mkuu, mifuko midogo midogo yapata ukubwa gani labda kiongozi...?.

Naomba kujuzwa tafadhali.

Shukran.''

Nusu lita ya maji may be

Ooh okay, nilihitaji kwa ajili ya sherehe mkuu.

Nafkiri kwa ukubwa huo itabidi nichukue nyingi mno mkuu, ingekuwa yale makubwa ingekuwa vyema zaidi mkuu.
 
1459406862529.jpg
hii ndio barafu unayohitaji?
 
Exactly, hitajio langu ni barafu mfano wa hilo kiongozi.
 
Kuna ice blocks mpaka za kilo 50 maeneo ya M/nyamala.
 
Sema tulishaangoe pm tayari picha imechelewa kidogo

Yah, ni kweli kiongozi naona umepata na wahitaji wengine pia wenye shida na hizo blocks mkuu.

Fanya uwasaidie pia mkuu ili waweze kupata na hawa ndugu zetu mkuu.

So thanks kiongozi.
 
View attachment 333677
hii ndio barafu unayohitaji?
Iko hivi hizi ni barafu imara sana na ukiweka kwenye upepo na jua peke yake bila kuifunika inaweza kukaa masaa zaidi ya 12, lakini ukiifadhi vyema inaweza kukaa mpaka siku4 hadi 5.kwahyo hivi ni vyuma sio mchezo....
Pia hizi ni tofauti na zile zinazotegenezwa na kqmpuni ya Coca-Cola...

Bei zake ni.
Shilingi 10, 0000/= kwa moja.
Lakini ukichukua kuanzia blocks 5 utauziwa shilingi 8,0000/= kwa kila moja.

Pia unaweza kukatiwa ktk vipande vidogo vidogo kama vile nusu, robo na upande.

Kiribu unaweza kununua blocks nyingi huwezavyo hata hukiitaji fuso nzima zikiwa tatu utapata

Anae hitaji anipm nimuunganishe na muuzaji mwenyewe.

Wauzaji watapatikana posta-ferry wanaweza kukupelekea popote pale ukijitaji.

Note:
Muuzaji huyu nafahamiana nae (ndugu yangu) kwahyo ukiwa unahitaji ntakuunganisha nae.
 
Hiyo imekaa vizuri kabisa mkuu.

Kama wanakuletea ulipo huwa wanaleta kuanzia blocks ngapi ukinunua...?.

Na cost ya usafiri inakuwa ni hiyo uliyonunua bidhaa wanajumuisha na usafiri au usafiri ina gharama yake...?. Ni kiasi gani kwa wapi, au popote kwa Dar mkuu...?.
 
Mkuu usafiri naamini unagharamia mwenyewe, ila kama nilivyosema ukihitaji wewe sema nikuunganishe nae muhusika kwa maana biashara ni mazungumzo. Pengine swala la usafiri mnaweza kuliweka mezani mkaliweka sawa na pengine mkafikia njia rahisi ya namna ya kusaidiana ili hizo barafu zifike unapohitaji...
 
Back
Top Bottom