Wapi Naweza Pata Ice Block/Mabarafu Maeneo ya Tabata au Segerea Wakuu...?.

Iko hivi hizi ni barafu imara sana na ukiweka kwenye upepo na jua peke yake bila kuifunika inaweza kukaa masaa zaidi ya 12, lakini ukiifadhi vyema inaweza kukaa mpaka siku4 hadi 5.kwahyo hivi ni vyuma sio mchezo....
Pia hizi ni tofauti na zile zinazotegenezwa na kqmpuni ya Coca-Cola...

Bei zake ni.
Shilingi 10, 0000/= kwa moja.
Lakini ukichukua kuanzia blocks 5 utauziwa shilingi 8,0000/= kwa kila moja.

Pia unaweza kukatiwa ktk vipande vidogo vidogo kama vile nusu, robo na upande.

Kiribu unaweza kununua blocks nyingi huwezavyo hata hukiitaji fuso nzima zikiwa tatu utapata

Anae hitaji anipm nimuunganishe na muuzaji mwenyewe.

Wauzaji watapatikana posta-ferry wanaweza kukupelekea popote pale ukijitaji.

Note:
Muuzaji huyu nafahamiana nae (ndugu yangu) kwahyo ukiwa unahitaji ntakuunganisha nae.
Naomba number
 
Natamani kukutana na mwenye mashine anipe uzoefu kwenye Hilo mkuu
 
Back
Top Bottom