''Mkuu, mifuko midogo midogo yapata ukubwa gani labda kiongozi...?.
Naomba kujuzwa tafadhali.
Shukran.''
Nusu lita ya maji may be
Mkuu hilo block moja linatengenezwa kwa bei gani??Sema tulishaangoe pm tayari picha imechelewa kidogo
Wanauzaje kwa block moja la kilo 50??Kuna ice blocks mpaka za kilo 50 maeneo ya M/nyamala.
Unahitaji blocks ngapi? Nikuulizie beiMkuu hilo block moja linatengenezwa kwa bei gani??
Yaani linauzwa bei gani??
Kama ishirini hivi mkuu....Unahitaji blocks ngapi? Nikuulizie bei
Iko hivi hizi ni barafu imara sana na ukiweka kwenye upepo na jua peke yake bila kuifunika inaweza kukaa masaa zaidi ya 12, lakini ukiifadhi vyema inaweza kukaa mpaka siku4 hadi 5.kwahyo hivi ni vyuma sio mchezo....View attachment 333677hii ndio barafu unayohitaji?
Iko hivi hizi ni barafu imara sana na ukiweka kwenye upepo na jua peke yake bila kuifunika inaweza kukaa masaa zaidi ya 12, lakini ukiifadhi vyema inaweza kukaa mpaka siku4 hadi 5.kwahyo hivi ni vyuma sio mchezo....
Pia hizi ni tofauti na zile zinazotegenezwa na kqmpuni ya Coca-Cola...
Bei zake ni.
Shilingi 10, 0000/= kwa moja.
Lakini ukichukua kuanzia blocks 5 utauziwa shilingi 8,0000/= kwa kila moja.
Pia unaweza kukatiwa ktk vipande vidogo vidogo kama vile nusu, robo na upande.
Kiribu unaweza kununua blocks nyingi huwezavyo hata hukiitaji fuso nzima zikiwa tatu utapata
Anae hitaji anipm nimuunganishe na muuzaji mwenyewe.
Wauzaji watapatikana posta-ferry wanaweza kukupelekea popote pale ukijitaji.
Note:
Muuzaji huyu nafahamiana nae (ndugu yangu) kwahyo ukiwa unahitaji ntakuunganisha nae.
Mkuu usafiri naamini unagharamia mwenyewe, ila kama nilivyosema ukihitaji wewe sema nikuunganishe nae muhusika kwa maana biashara ni mazungumzo. Pengine swala la usafiri mnaweza kuliweka mezani mkaliweka sawa na pengine mkafikia njia rahisi ya namna ya kusaidiana ili hizo barafu zifike unapohitaji...Hiyo imekaa vizuri kabisa mkuu.
Kama wanakuletea ulipo huwa wanaleta kuanzia blocks ngapi ukinunua...?.
Na cost ya usafiri inakuwa ni hiyo uliyonunua bidhaa wanajumuisha na usafiri au usafiri ina gharama yake...?. Ni kiasi gani kwa wapi, au popote kwa Dar mkuu...?.