kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,097 Reaction score 7,199 Sep 18, 2017 #1 Wakuu, Nina kiwanja kipo Kijenge juu -Arusha. Kiwanje hiki hakina hati ila kima offer tu. Je, ninaweza kupata mkopo kutoka kwenye taasisi za fedha? Kama ndio ni zipi, Na masharti yakoje? Naweza pata mkopo ndani ya Muda gani? Karibuni mnijuze
Wakuu, Nina kiwanja kipo Kijenge juu -Arusha. Kiwanje hiki hakina hati ila kima offer tu. Je, ninaweza kupata mkopo kutoka kwenye taasisi za fedha? Kama ndio ni zipi, Na masharti yakoje? Naweza pata mkopo ndani ya Muda gani? Karibuni mnijuze