kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Wakuu,
Nina kiwanja kipo Kijenge juu -Arusha. Kiwanje hiki hakina hati ila kima offer tu. Je, ninaweza kupata mkopo kutoka kwenye taasisi za fedha?
Kama ndio ni zipi,
Na masharti yakoje?
Naweza pata mkopo ndani ya Muda gani?
Karibuni mnijuze