EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule iko mkoa wa Tabora.Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
Njombe kuna Shule ya Viziwi ambayo na Mabubu pia wanasoma na Mafinga au Mafinga pia ipo.Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
Naulizia kwa mkoa wa MbeyaNjombe kuna Shule ya Viziwi ambayo na Mabubu pia wanasoma na Mafinga au Mafinga pia ipo.
Sent from my SM-N770F using JamiiForums mobile app
Nilidhani pengine kila mkoa zipoShule iko mkoa wa Tabora.
Mpeleke kwa mwamposa..Nilidhani pengine kila mkoa zipo
Kwa mwamposa kufanya nini wakati mwamposa mwenyewe naye ni mlemavu wa akiliMpeleke kwa mwamposa..