WAPI NAWEZA PATA T-SHIRT (form six)

WAPI NAWEZA PATA T-SHIRT (form six)

edwin4

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
287
Reaction score
216
Ndugu wana Jf nina uhitaji wa T-Shirts aina ya form six za rangi ya njano iliyo kolea kwaajili wanafunzi. Kama unazo au unajua zinako patikana naomba tujuzane.
 
Size gani, idadi ni ngapi...ziko na zinauzwa kwa jumla
 
Saiz ni 30-39. Naomba kujua bei yako.
 
Ndugu wana Jf nina uhitaji wa T-Shirts aina ya form six za rangi ya njano iliyo kolea kwaajili wanafunzi. Kama unazo au unajua zinako patikana naomba tujuzane.
edwin4 uko sehemu gani katika Tanzania yetu hii yenye amani? kama uko Mwanza nikuelekeze sehemu ya kupata hizo tisheti, kama sio Mwanza basi naomba nisiendelee ku comment kwenye uzi wako!
 
Kiongozi nipo IRINGA , nisaidie kupata namba zao pleas.
 
+255 788 141 241 mcheki uyo jamaa yuko Iringa jina lake maarufu ni Pizza.
 
Ndugu wana Jf nina uhitaji wa T-Shirts aina ya form six za rangi ya njano iliyo kolea kwaajili wanafunzi. Kama unazo au unajua zinako patikana naomba tujuzane.
+255714447615
 
Back
Top Bottom