Yeah,thats proffessionaly lazima ufanye Risk analysis katika hio business idea yako. Kama iko promising mdhamini huwezi mkosa ukienda na proposal iliokaa vizurUnachoongea ni kweli kabisa Extrovert lakini mpango wa biashara yoyote unategemeana na mambo mengi ikiwapo aina ya soko lako unalolilenga, mfumo wa malipo na wadhamini. Lazima kuwa makini katika kutambua Risk kubwa iko wapi na inapobidi unaweza kuwa na bima ya biashara pia
ignatus peter
Kila kitu kiko sawa mkuu, wapo suppliers wakubwa na wenye stock kubwa ambapo kwao ikitoka na kulipwa kwa instalments sio taabu ikiwa uhakika wa kupata pesa yao kadri ya mkataba upo. Gharama ya kuhidhi mzigo kwa miezi3 hadi 6 kwao ni kubwa na kuuza mzigo huohuo na kupata pesa yao ndani ya miezi3, 6 ni faida.Hapo mkuu ni lazima utengeneze kwanza credit rating hata mwaka mmoja kwanza, hata hivyo biashara za mswahili akupe bidhaa ukae naye kwa mwezi tu ni changamoto sijui itakuwaje kwa mniezi 9?
Mathani unamwambia MO akuletee dithaa yake mpaka kibaha kwa wiki mara mbili anatia mafuta gari kwa pesa yake washushaji wa mzigo juu yake hiyo gharama sasa zidisha mara miezi 9.
kama angejua chain yote yahizo bidhaa inavofanya kazi kuanzia production yenyewe yahizo bidhaa nagarama zauendeshaji na profit inayoweza kuptikana kuanzia kwa manufactured mpaka muzaji wa mwisho asingeropoka hio habar yamkopo wamiez 12 wala kujivisha ujuaji mwingiHahahah Mamamaeeee yaani ukae na hela za watu kwa miezi 12 kizembe tu afu unajibu kirahisi tu biashara ni uhakika?
Hahah karibu tuendelee kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu tu atleast utapata hela ya kula daily.
Inawezekana kabisa ila siyo suala la ghafla.Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12.
Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na
Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali, cement, nondo, kokoto, bati, mbao, gypsum boards, aluminiums, grills, rangi za nyumba na vingine vinavyohusika
Vyombo vya usafiri ikiwa ni pamoja na pikipiki, bajaj, magari madogo
Wanaouza plots na mashamba, wanaouza mifugo na kutoa matunzo ya ufugaji kwa wateja wao kama ng'ombe wa maziwa, mbuzi, viranga wa aina zote (wa kuku, samaki...) n.k
Kama upo kati ya hao na unafanya biashara rasmi (namaanisha biashara iliyosajiliwa kisheria) karibu tuyajenge. Asanteni
Anaota huyo..uaminifu Hakuna...ngumu sanaKwa bongo hii,hupati,labda uweke hati ya nyumba kama collateral
Nakuaminiaga Sana kwenyeHahaha naona sasa unaleta theories za darasani sijui wadhamini mara bima ya biashara.
Aisee hebu nenda kwa ma-supplier kawaletee hizo story ndipo utajua hujui sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸💃Wasiliana na Mayanga Construction watanunua huo mzigo wako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸💃
Wazo zuri na la kizalendo sana Daudi Mchambuzi barikiwaWasiliana na Mayanga Construction watanunua huo mzigo wako.
Hii ni BIASHARA na biashara inalenga kutengeneza faida, hatuuzi uaminifu tunauza biashara na uaminifu ni matokeo ya kazi nzuriAnaota huyo..uaminifu Hakuna...ngumu sana
Umesema sawasawa. Sio swala la ghaflaInawezekana kabisa ila siyo suala la ghafla.
Kitu kama hiki kinatokana na uaminifu na network uliyoijenga kwa muda mrefu.
Ila kama ni mwenzangu na mimi, huheshimu mali za watu, huheshimu makubaliano, kila mwenye mzigo akitaka chake kwa mujibu wa makubaliano wewe unakuja stori za niliuguliwa na mtoto, nilifiwa na babu yake baba - utafikiri yeye hsna shida. Sahau kupata kitu kama hicho.
Uaminifu ni mtaji ila waswahili ni wa kuhesabu sana.
Anzia pale ulipoishia. Kadiri unavyozidi kuwa mwaminifu ndivyo chain ya connection inazidi kukua. Kama ulishaanza, ni rahisi. Ongea na unaofanya nao biashara, na wao watakuunganisha kwa wenzao.Hii ni BIASHARA na biashara inalenga kutengeneza faida, hatuuzi uaminifu tunauza biashara na uaminifu ni matokeo ya kazi nzuri
Na nikuambie tuu nimeshafanikiwa kwa kiasi kikubwa na huu ni muendelezo