Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unamaanisha wewe unakuwa kama wakala au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itategemea mzigo utachukua siku ngapi kuisha. Kama utachukua siku chache mfano siku 3 stock ya mifuko 500 ya simenti kuisha unaweza kumvutia au kumshawishi mzalishaji, huku akijua ndani ya siku 3 anapata fedha zake. Kazi kubwa uliyonayo, ni kumhakikishia mzalishaji kuwa una wateja wakutosha na ndani ya muda mfupi mzigo utakuwa umeisha; tofauti na hapo biashara itakuwa ngumu.Mimi siwi wakala mkuu. Utanidai wateja kwa kadri ya uwezo wako na pesa za mauzo
Hii itategemea mzigo utachukua siku ngapi kuisha. Kama utachukua siku chache mfano siku 3 stock ya mifuko 500 ya simenti kuisha unaweza kumvutia au kumshawishi mzalishaji, huku akijua ndani ya siku 3 anapata fedha zake. Kazi kubwa uliyonayo, ni kumhakikishia mzalishaji kuwa una wateja wakutosha na ndani ya muda mfupi mzigo utakuwa umeisha; tofauti na hapo biashara itakuwa ngumu.
Pia ili kujiweka smart na kuaminika kibiashara, ni vizuri ukasajili kampuni, mfano xxxxx general traders n.k baada ya hapo tembelea viwanda unavyovifahamu uwashawishi ili muingie makubaliano ya hiyo biashara yako unayotaka kufanya.
Nadhani wapo wengi tu, ila wengi wao wanataka kwanza down payment (yaani kama unataka mzigo wa 10m wanata utoe 5m ama 6m kwanza) ndipo zingine ulipe polepole. Wengineo wanataka uwe umefanya nao biashara kwa muda kidogo kabla hawajaanza kukukopesha, ili wajue kwanza mzunguko wa biashara yako. Ni hayo yo Mama DNatafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12.
Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na
Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali, cement, nondo, kokoto, bati, mbao, gypsum boards, aluminiums, grills, rangi za nyumba na vingine vinavyohusika
Vyombo vya usafiri ikiwa ni pamoja na pikipiki, bajaj, magari madogo
Wanaouza plots na mashamba, wanaouza mifugo na kutoa matunzo ya ufugaji kwa wateja wao kama ng'ombe wa maziwa, mbuzi, viranga wa aina zote (wa kuku, samaki...) n.k
Kama upo kati ya hao na unafanya biashara rasmi (namaanisha biashara iliyosajiliwa kisheria) karibu tuyajenge. Asanteni
Asante sana Idimi 🙏Nadhani wapo wengi tu, ila wengi wao wanataka kwanza down payment (yaani kama unataka mzigo wa 10m wanata utoe 5m ama 6m kwanza) ndipo zingine ulipe polepole. Wengineo wanataka uwe umefanya nao biashara kwa muda kidogo kabla hawajaanza kukukopesha, ili wajue kwanza mzunguko wa biashara yako. Ni hayo yo Mama D