Wapi naweza somea wizi.

Wapi naweza somea wizi.

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
wakuu nahitaji kujua sehemu ambayo naweza somea wizi kwa wiki kama mbili hivi ili niweze kumudu maisha ya town simnajua Christmas na mwaka mpya ziko njiani so lazima nitafute mkwanja wa kuonga macute.
Engineer to be aliyekosa mkopo.
 
Dah.... kuna wizi wa ideas...huu ni mzuri sana....unakaa baa huku masikio yako wazi...unasikiliza mawazo ya walevi...walevi wana mawazo mazuri sana...tatizo lao kubwa ni utekelezaji..[emoji13] [emoji13]
 
hakikisha unaanza na mazoezi ya mbio...kimbia kila siku 900 km kwa wiki 2..pushapu 800 kila siku kwa wiki 2...na mazoezi ya kukwepa matone ya mvua...ukiwa tayari ni PM tukapige mchongo wa mifwedha...be serious....
 
nataka kuwa level ya ukibaka kamili yani.
 
Wizi una level zake. Sasa wewe unataka level ipi?
Km unaanza ngaz ya cheti sema tukuelekeze mitaa ambayo utpata koz nzuri zaid, na km ni dip au degree pia useme ili iwe rahis.
 
nadhani unaweza somea kituoni police au mahakamani,jinsi utakavokuwa unasikiza kesi au watyu wanavoelezea jinsi wavoibaaaa mkuu,.
 
Una sifa gani? Leta kwanza sifa zako, isije ukawa umezoea kudokoa nyama jikoni Leo unataka ukaibe buti za wanajeshi
 
Back
Top Bottom