Wapi nawezapata hii

Wapi nawezapata hii

LadySwa

Member
Joined
Jan 25, 2009
Posts
77
Reaction score
6
Wajamani napenda kufahamu bei ya generator kubwa pia isiyo na kelele zaidi aidha mpya au Mtumba .
 
kubwa ndo ipi hiyo wewe na size gani?
Taja kwa KVs ndo tutakuelewa.
 
yenye kelele kama za Aggreko au za Songas? Zipo za slow kabisa ni tshs. 12,000,000/= utapelekwa just be serious na utumie mawasiliano ya personal
 
Back
Top Bottom