Teen Leila
Member
- Sep 24, 2013
- 33
- 4
- Thread starter
-
- #21
dah!! ungekuwa unasoma science ningekupa link ya scholarship hapa hapa sasa kwa social work ngoja nianze hivi umejiriwa?? sina maana mbaya

Pole sana kwa matatizo. ...jinsi ulivyoandika kuwa ada ni milioni na nusu inamaana inatakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo au unaweza kulipa kwa instalments? .....jaribu kuweka ktk mtiririko ambao hata mtu mwenye kiasi kidogo anaweza kujisikia kukusaidia kwa kidogo alichonacho na akaridhika kuwa kimetatua sehemu ya tatizo lako
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!
Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe
Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa kuchangiwa changiwa ivo ivo sasa mwaka huu sijajua nitasomeje
Naombeni msaada wenu jaman niko tayari kuonyesha vyeti vyangu vyote kama uhakiki kwa ataeweza kunisaidia
Kwa huu mwaka wa pili inahitajika milioni na nusu maana tunalipa kwa units ambapo somo moja elfu 60
Naombeni mnisaidie jaman..niko dar es salaam au kama kuna yoyote anaeweza kunielekeza popote pale ambapo naweza kwenda na kupata msaada huu tafadhali naomba unieleze niende.....naombeni sana msaada wenu
Hii hapa ni email acount yangu leilayuris@yahoo.co.uk