wapi nawezapata sponsor anisomeshe please???? nisaidieni!!!!!

wapi nawezapata sponsor anisomeshe please???? nisaidieni!!!!!

dah!! ungekuwa unasoma science ningekupa link ya scholarship hapa hapa sasa kwa social work ngoja nianze hivi umejiriwa?? sina maana mbaya

Ondoa shaka ndugu yangu swali lako ni zuri tu cz unataka kujua
sijahajiriwa na natafuta sana ajira,,,,ahsante kwa kujali na kwa mchango wako wa mawazo...Mungu akuziishie!!
 
Ahsanteni sana kwa mawazo yenu....stil msaada wenu ni muhim sana kwangu.....yoyote alieguswa niko tayar kumpa vyeti vyangu vyote ikiwemo admission leter ya chuo mpaka parent death certificate,,,,yAani inshot kila kitu kinacho prove my true identity
ili aweze kuthibitisha nisemayo na juu ya msaada niuombao!!!
!nawashukuru sana
Mungu awazidishie!!!!
 
Samahani kama ntakukwaza umesema ni yatima pole kwa hilo ila ulianzaje kusoma bila uhakika wa ada tena ukaenda kusoma open ada ni kubwa una division ngapi form six
 
Pole sana kwa matatizo. ...jinsi ulivyoandika kuwa ada ni milioni na nusu inamaana inatakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo au unaweza kulipa kwa instalments? .....jaribu kuweka ktk mtiririko ambao hata mtu mwenye kiasi kidogo anaweza kujisikia kukusaidia kwa kidogo alichonacho na akaridhika kuwa kimetatua sehemu ya tatizo lako
 
kwa open ninavyojua wanalipia kwa unit @1 t shs 60,000. Kwa mwaka huyu anaweza kusoma unit 10. Ambayo ni laki 6.
chuo kimeweka utaratibu wa kulipa kwa awamu ili wenye kipato cha chini waweze kujisomesha. For real nimeguswa na tatizo la huyu dada.
kuna info nazicheki kesho naweza kumwambia wapi anaweza kusaidiwa.
 
Nenda ofisi za wama ama moltage kaonane na teddy mapunda watakusaidia
 
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!

Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe

Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa kuchangiwa changiwa ivo ivo sasa mwaka huu sijajua nitasomeje

Naombeni msaada wenu jaman niko tayari kuonyesha vyeti vyangu vyote kama uhakiki kwa ataeweza kunisaidia

Kwa huu mwaka wa pili inahitajika milioni na nusu maana tunalipa kwa units ambapo somo moja elfu 60

Naombeni mnisaidie jaman..niko dar es salaam au kama kuna yoyote anaeweza kunielekeza popote pale ambapo naweza kwenda na kupata msaada huu tafadhali naomba unieleze niende.....naombeni sana msaada wenu

Hii hapa ni email acount yangu leilayuris@yahoo.co.uk

nitafute kwenye email jackson_barnabas@yahoo.com tuwasiliane afu nikuchangie kiasi chochote ntakachobarikiwa.
 
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!

Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe

Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa kuchangiwa changiwa ivo ivo sasa mwaka huu sijajua nitasomeje

Naombeni msaada wenu jaman niko tayari kuonyesha vyeti vyangu vyote kama uhakiki kwa ataeweza kunisaidia

Kwa huu mwaka wa pili inahitajika milioni na nusu maana tunalipa kwa units ambapo somo moja elfu 60

Naombeni mnisaidie jaman..niko dar es salaam au kama kuna yoyote anaeweza kunielekeza popote pale ambapo naweza kwenda na kupata msaada huu tafadhali naomba unieleze niende.....naombeni sana msaada wenu

Hii hapa ni email acount yangu leilayuris@yahoo.co.uk

wallah machozi yamenitoka nilipoisoma hii post ingawa sikua online siku nyingi sana,,dah!!,wanawake wenzangu mko wapi tumuwezeshe mwenzetu??haya ndio mambo ya kusaidia sasa,mimi sina pesa kivile ila ni pm nikupe kidogo nilichonacho kikusukume na uendelee kutafuta huku na kule,mungu atakusaidia na utasoma ila usikate tamaa
 
Back
Top Bottom